Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Sasa vimsaidie nini au hao waliowekeza huko wana nini maana target ya kila mtu ni kuachieve good life.
Km vipi wewe ndo unapaswa ukawekeze kwenye huo ufala acha kijana mwenzio awekeze kwenye magari.
Nashukuru.
 
Hizo ni ndoto zako wewe, na yeye anazo ndoto zake. Elewa mangi
Ni kweli kabisa Mangi.
Wengi wamepinga ushauri nilioutoa mwanzoni.
Sio lazima aufuata kwani kila MTU anayo mipango yake.
Ieleweke kuwa sio wivu wala nini,kwani sisi wengine timekwisha zoea kuishi kimaskini lakini tunaweza tukawa na mawazo/ushauri makini.
Time will tell.
Hongera Diamond platinum kwa kununua GARI jipya linalofanana na LA Ronardo.
 
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.

Hayo yote ni kufukuza upepo tu.Tulikuja hatuna kitu na tutaondoka bila kitu.Shetani alimwambia Yesu, "Haya yote nitakupa ukiniabudu."
 
Hayo yote ni kufukuza upepo tu.Tulikuja hatuna kitu na tutaondoka bila kitu.Shetani alimwambia Yesu, "Haya yote nitakupa ukiniabudu."
Utakuwa unasali kwa Gwajima wewe sio bure, yeye anawahubiri hivyo huku yeye akitumia sadaka zenu kununua hammer na chopper
 
a8dd9c28b760e3c9a5335de785eee04b.jpg



Yy kasema kachukua hio kwa ajil ya trip yke ya S.A, ninavyojua unaweza uka kodisha gar ya kifahar kwa ajir ya matanuz somewhere, tena amesama kbsa n south sio bongo
 
Hiyo ndinga akija nayo bongo mzee wa dawa za kulevya lazima aichukue vinginevyo lazmaa simba afikishwe central
 
Back
Top Bottom