Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Nimependezwa sana tu kwa yeye kununua kitu cha ndoto yake.Naona hujapendezwa na kitendo cha yeye kununua gari
Gari yenyewe hummer tu,wala sio ya ajabu saaana ijapokuwa mimi sina uwezo wa kununua[emoji38]!!
Alivyonunua Hummer haina maana ndio Pesa zake zimeisha
Awekeze kwenye elimu asome au ?Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Acha wivu weweBadala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
...kawachekeche mandezi wenzio!Naona unahangaika sana,ngoja nikusaidie.
Diamond ana nyumba nyingi sana alizopangisha,Dar na nje ya Dar..nyingi saaana,na huu ndio uwekezaji mkubwa alonao,yule dogo ananyumba nyingi saaaana!!!
Diamond ana Mashamba makubwa sanaaa ya mananasi na matikiti huko Pwani.
Ana shamba kubwa la kufugia kuku wa kisasa,kienyeji huko Kibaha!!kuku wale wamewekwa kwenye mabanda makubwaa zaidi ya ishirini!!
Diamond ana Hotel nyingi Morogoro,Dar,Mtwara na sehemu nyingine kwa uchache,,ila Morogoro amejitahidi kuwekeza sana.
Ana mashamba makubwa ya nyanya huko Ngarenanyuki anakodishwa halafu analima
Hayo ni machache niyajuayo mimi,mengi zaidi anajua yeye mwenyewe na Familia yake!!Diamond ni mfanyabiashara kuliko unavyomfikiria
Magari south ni cheeps sana
Ewah!Ungeandika basi na ukweli wa wewe elimu yako imekufikisha wapi kwa unachofanya katika kazi yako.
Usiwe kama mwehu unataka diamond akasomee nini uchumi au udaktari,ualimu au uhasibu?..mkuu sikia now diamond haitaji elimu hiyo unayotaka wewe zaidi ya kuajiri watu wenye taaluma ambayo yeye hana sanasana labda asome muziki hapo ndo nitakuelewa maana ndo kada yakeBadala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
After all sio role model wangu,role model wangu ni Issa Shivji,Jakaya Kikwete na the like.