Mtoa mada unafanya kazi uliyotumwa vizuriSi ndo kanunua tu bado hajaifanyia marebekisho anavyotaka yeye
Hata nyumba inaingiza Mshiko wa nguvu.... Shida ukishidwa kuiheshimu pesa inakuumbua cc nice mkendaafungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambuaView attachment 340753View attachment 340754View attachment 340755View attachment 340756View attachment 340757View attachment 340761
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] utukome[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mbona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme