Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
 
Pia weka TRA kodi yetu aliolipa kwenye manunuz ya 100. Heshima inakuja kwakulipa kodi TRA
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Huo unaitwa W I V U Basi kanunue yako Oystebay Au Masaki halafu njoo JF utuoneshe utajiri wako.
Nyie ndio bado mnakaa Kwa bibi zenu Halafu midomo mireeeeeeeeefu.
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Wabongo bhana sasa wewe unafananisha wasanii wa huko mbele na tanzania? Angalia mazingira ya sanaa ya tanzania je yanaruhusu kupata kipaya icho cha kununua mahekalu? We unafananisha wasanii walioekrwa mazingira ya kutajirika na hawa wa kwetu?
Si bora hata huyu kajitaidi wakina ngurumo na tx moshi wamekufa hawana kitu kabisa
 
Akinunua kule avic town kama mimi, $187,000, ukitaka contract nakuwekea kesho, ni quote sema nataka contract
 
Mkuu unajua una kipaji,hebu jaribu stand up comedy uone kama hupigi hela
Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tz
 
Wasiompenda diamond na wazee wa kucheketua wanavoicheki hiyo nyumba..... 😀
tumblr_inline_nv213bdyj91ryyjv7_400.jpg
 
Safi Sana ila kama ni 100m basi dalalimwanamke kakupiga.
 
Upo sahihi hiyo nyumba kwa milioni 60 unajenga. Ila hongera zake.. ila naye awe mjanja siku ingine. Nyumba gani ina marangi rangi kama kachumbari?
Kwahiyo mkuu kwako wewe nyumba ukkipakwa marangimarangi huinunui, hivi rangi mbona unaweza badilisha ukapaka uipendayo, alafu mnunuzi anayo nyumba nyingine anayoishi sidhani Kama anaweza ishi nyumba zote kwa pamoja.
 
Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project yao na miraji jk nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tz

Usiseme sio kazi, sema ilikushinda, Kuna watu wanaishi kwa kazi hiyo, na imewatoa na wameajili wenzao.
 
Usiseme sio kazi, sema ilikushinda, Kuna watu wanaishi kwa kazi hiyo, na imewatoa na wameajili wenzao.
Ha ha ilinishinda maana, sikuweza ku mek zaid ya nnavyoweza kumek hiv sasa
 
Back
Top Bottom