Sisi me weye mtu hani Kwa lugha nyingine kizuri ni kibaya Na kibaya sio kizuri mmmmmmmm hatareeeembona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme
Huo unaitwa W I V U Basi kanunue yako Oystebay Au Masaki halafu njoo JF utuoneshe utajiri wako.Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Wabongo bhana sasa wewe unafananisha wasanii wa huko mbele na tanzania? Angalia mazingira ya sanaa ya tanzania je yanaruhusu kupata kipaya icho cha kununua mahekalu? We unafananisha wasanii walioekrwa mazingira ya kutajirika na hawa wa kwetu?Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
mbona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme
Upo sahihi hiyo nyumba kwa milioni 60 unajenga. Ila hongera zake.. ila naye awe mjanja siku ingine. Nyumba gani ina marangi rangi kama kachumbari?Hiyo Nyumba haifiki mil 100,nyumba ya mil 60 eti imekuwa 100?Tena hata 60 sidhani Kama inafika.
Mkuu unajua una kipaji,hebu jaribu stand up comedy uone kama hupigi helaAkinunua kule avic town kama mimi, $187,000, ukitaka contract nakuwekea kesho, ni quote sema nataka contract
Thank you i'l just hit u with that contract keshoMkuu unajua una kipaji,hebu jaribu stand up comedy uone kama hupigi hela
Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tzMkuu unajua una kipaji,hebu jaribu stand up comedy uone kama hupigi hela
Kwahiyo mkuu kwako wewe nyumba ukkipakwa marangimarangi huinunui, hivi rangi mbona unaweza badilisha ukapaka uipendayo, alafu mnunuzi anayo nyumba nyingine anayoishi sidhani Kama anaweza ishi nyumba zote kwa pamoja.Upo sahihi hiyo nyumba kwa milioni 60 unajenga. Ila hongera zake.. ila naye awe mjanja siku ingine. Nyumba gani ina marangi rangi kama kachumbari?
Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project yao na miraji jk nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tz
Usiseme sio kazi, sema ilikushinda, Kuna watu wanaishi kwa kazi hiyo, na imewatoa na wameajili wenzao.Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project yao na miraji jk nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tz
Ha ha ilinishinda maana, sikuweza ku mek zaid ya nnavyoweza kumek hiv sasaUsiseme sio kazi, sema ilikushinda, Kuna watu wanaishi kwa kazi hiyo, na imewatoa na wameajili wenzao.
Azi wanaofanya wanabangaizaHa ha ilinishinda maana, sikuweza ku mek zaid ya nnavyoweza kumek hiv sasa
Hii Nyumba sio mpya, imeshatumika tayari!