Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Huo unaitwa W I V U Basi kanunue yako Oystebay Au Masaki halafu njoo JF utuoneshe utajiri wako.
Nyie ndio bado mnakaa Kwa bibi zenu Halafu midomo mireeeeeeeeefu.
Mara nyingi mkioneshwa mnapiga kelele eti tunaringa na kujidai
 
Uliza uambiwe. Diamonds ameinvest sana kwenye real estate, ananyumba nyingi amepangisha. Si bure na hii amenunua ili aipangishe.
Ziko wapi?? Kama haka kauchafu kakirusha kwenye mitandao unafikiri hizo nyingine angeshindwa..
 
Angekuwa na nyumba nyingine zaidi ya hizo mbili lazima angewarushia... Si unaona kale kabanda kale kule porini anavyokirusha na anakiita Ikulu.. Huyu dogo mnavyomzania sio kabisa...
 
Mkuu Kuna watu wanajifanya wanajua kuuliko aliefanya, Diamond tayari anayo nyumba anaishi, hakuna anaejua lengo la kuinunua hiyo nyumba. Anataka kuweka ndugu zake, kupangiasha, kuifanya ofisi ama nini.
Kuifanya ofisi?? Asije akaweka wale wastedishoo wake hapo wakapiga kelele... Kuna fogo wa TRA hapo jirani yake atamwamisha mara moja
 
Hawezi kujua yote hayo.. Yeye anajua kukata viuno tu.. Si unaona hata gari yake ya kutembelea alafu anayo moja tu.. Kuna siku nilimkuta nayo Mwenge Garage nilimshangaa sana.. Dogo ana vijihela ila ni mshamba big times
 
Huyu bwana ana mkwanja afu hautumii vizuri... Muda umefika sasa kufanya biashara hivi vibanda vinatosha
Kwa brand name yake anaweza kwenda kamata hata ufukwe kule Mtwara akaweka Hotel na Amazement Park ya maana akapiga mihela... Tatizo mshauri ni mama yake nae anamshauli kununua vibanda sinza na magomeni..
 
Angekuwa na nyumba nyingine zaidi ya hizo mbili lazima angewarushia... Si unaona kale kabanda kale kule porini anavyokirusha na anakiita Ikulu.. Huyu dogo mnavyomzania sio kabisa...
Am not even going to argue this with you. You clearly dont have any clue about his investments. You are just hating and I dont bother with haters.
 
Am not even going to argue this with you. You clearly dont have any clue about his investments. You are just hating and I dont bother with haters.
Hate?? For what?? I'm neither his competitor nor we share any competitive advantage.. I'm on different field from him, he make his living through music and I make mine from my own other sources.. And actually I'm not a fan of any musician in Tanzania... To say he don't have any housing investment its that that.. Mbona kawekeza kwingine na tunajua kwakuwa huwa anatangaza wazi na wapambe wake wanakuja kuback up humu
 
Hawezi kujua yote hayo.. Yeye anajua kukata viuno tu.. Si unaona hata gari yake ya kutembelea alafu anayo moja tu.. Kuna siku nilimkuta nayo Mwenge Garage nilimshangaa sana.. Dogo ana vijihela ila ni mshamba big times
Actually niliandika sababu nilijua huyu ni mtu mashuhuri ila niseme ukweli sijui yeye ni nani na ana hali gani. Nimemsoma kuwa ni mpenzi wa Wema Sepetu halafu eti ni ndugu na mzee wa msoga mi sijui ila nilishangaa mtu kununua nyumba tena ina rangi za nursery school ndo nikacomment. Kwani ana nini? He is not of my age and carriber may be that is why. Nipe King kiki, na marehemu Maneti hao ndo saizi zangu.
 
Ni chokoraa mmoja hivi watoto wa uswazi ndio anawa inspire sana na ni kama Mungu wao
 
Nimeambiwa aliimba Mbagara mbagara naukumbuka huo wimbo some years ago. Kumbe ndo huyo kumbe siyo mbagara tena kabadili jina. Anyway nasikia JK kampromote sana. Nadhani tungekazania wanamasumbwi, Athletes, Judo, and other games sababu hiyo michezo inapromote sana nchi kuliko kustick na footy na hao waimbaji wanaopotea baada ya muda mfupi.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
""""""Ameniudhi kuita "KIBANDA" Mjengo ambao ukoo wetu wote HAKUNA MWENYE NAYO HATA MMOJA KAMA HIYO.""""""""
 
yani kwa haraka haraka sijaipenda ramani yake hyo nyumba
 
Nasikia voda watamfurumusha kwenye matangazo yao kwa ku abuse wanawake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…