Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Wengine nyumba zetu tulimozaliwa na hata tunazoendelea kuishi hazifiki hata nusu ya hiyo nyumba ila tupo hapa tunajishaua tu kumpondea mtandalee hahaaaaa acheni hizo bhana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo ndizo Tabia zetu watu tulio maskini, kukosoa vya wenye nazo, masikini tunajua mpaka anachowaza mtu. Hii tayari tunajua Diamomond kakusudia nini.Ni kweli mkuu yeye hajasema na Diamond sio nyumba ya kwanza hiyo kununua ana nyumba nyingi na alisha sema yeye kuwa atawekeza katika nyumba na ni kweli hamna uwekezaji unao lipa kama wanyumba mkuu! Ukiwa na Nyumba tano umepangisha hat kama kwa mwezi ni Laki 8 kwa nyumba tano atakuwa na million 4 kila mwezi! Hicho kiwango cha chini!
Kajenga studio ya WCB NA OFISI KUBWA ZIPO PALE KAAJILI VIJANA WAKUTOSHA NA SAHIZI ANATANGA AJIRA KWA VIJANA.....KAAJIRI ZAIDI YA VIJANA 10 lakini watu hilo hawaoni eti! Kununua nyumba hata kama ni mbeya huwezi jua lengo lake
Unajua uwekezaji mkubwa na mzuri kiuendeshaji kama real estate? Au unataka awe na kiwanda?afungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Hata safari ya ulaya pia imemgharimu millioni 100.Jamaa muongo, kila kitu kwake milion 100
nenda fb au es.grmUmeionaje ndani hiyo nyumba akati imepigwa picha nje tuuuu! Wabongo bhna yeye anawekeza katika nyumba na nyumba nzuri ya kuishi anayo ambayo wewe huna hizo zingine za ziada tuuu
Ni kweli anatakiwa aangalie kwenye biashara zingine.Huyu bwana ana mkwanja afu hautumii vizuri... Muda umefika sasa kufanya biashara hivi vibanda vinatosha
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambuaView attachment 340753View attachment 340754View attachment 340755View attachment 340756View attachment 340757View attachment 340761
Huyu bwana ana mkwanja afu hautumii vizuri... Muda umefika sasa kufanya biashara hivi vibanda vinatosha
Do Ila wewe jamaa ni noumer!
Nyumba ipo maeneo ya salasala viwandani.. Fensi yake ilivunjwa kupisha bomba la maji... Hakuna nyumba ya million 100 hapo..Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.