Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa background ya jamaa, shule yake na mafanikio anayoyaonesha nadhani ni wachache humu JF wanaoweza kuwa wamempita.
Dogo anajitahidi sana.
Sana tu.
Halafu, licha ya kwamba dogo hana elimu kubwa, huwa namwona ni mtu mwenye upeo mzuri sana.
Jaribu tu kumsikiliza aongeapo hata kwenye mahojiano...jinsi ambavyo huwa anajibu maswali, huwa naona kama angepata fursa ya kusoma elimu ya darasani basi huenda hata huko angefanikiwa.