Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo tuzo za vichochoroni na kuhonga hazimsaidii chochote,,Hata wanaigeria hawana habari nazo..Diamond ameshachuja kimziki,,
Hii ni hat trick ya 2 ya international kama sikosei ndani ya mwaka huu chibu anapiga

Teh Teh aende mahakani au angejitangazia ushindi ili tunzo zirudiwe.....Atakuja na thread "Napinga ushindi wa Diamond.".
Nasema nawe bonge moja la dude, sema tu kwa Tanzania mziki wa mduara haukubaliki kiivo na hata kukiki kwake ilikuwa kwasabababu aliimba diamond.. Ila kwa wenzetu ulisumbua sana charts za redio kubwa hdi kitaa, ni vile tu video yake haikuwa na quality kiivo isumbue video charts..
Kwa kuimba nyimbo mkuu...!Sijawahi changia kwenye nyuzi za mtindo huu, leo
nimeona sio mbaya kuuliza humu.
Hivi huyu dogo Diamond hizi tuzo tatu kwa wakati mmoja amepata kwa kuimba kitu gani?
Teh Teh......Huyu nae apumzike kwakweli mana mpaka nimesahau huu mwaka peke ake amechukua tuzo ngapi hahhahha wengine wamekosa tuzo wamezawadiwa viatu vya mpira njumu kweli ronaldo mwendo wa 3
Huyu nae apumzike kwakweli mana mpaka nimesahau huu mwaka peke ake amechukua tuzo ngapi hahhahha wengine wamekosa tuzo wamezawadiwa viatu vya mpira njumu kweli ronaldo mwendo wa 3
Ana tuzo zaidi ya 40 kwa miaka 5 ya uwepo wake ktk muziki je akifikisha miaka aliyopo huyu mlinzi wa fisi si atakuwanazo zaidi ya 100.
![]()
Chibu katika ubora wake!!!
Tuzo alizoshinda ni...
1. Mwimbaji bora wa Afrika
2. Mwimbaji bora wa Afrika Mashariki
3. Wimbo bora Afrika (Nasema Nawe)
Vanessa Mdee amenyakua tuzo ya Best Artist in African Pop