Diamond Platnumz apata mtoto kupitia kwa mpenzi wake aitwaye Tanasha

Diamond Platnumz apata mtoto kupitia kwa mpenzi wake aitwaye Tanasha

Anti-Hacker

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
803
Reaction score
1,233
Kwa mujibu wa stori zinazo zagaa kwa sasa ni Diamond atakuwa anasherekea siku ya kuzaliwa na mwanaye huyo mzawa wa Tanasha

70832441_386563012291436_2647156707146848135_n.jpg
 
Daaaa nimefungua nikadhani Natasha yule mama Bongo Movie... Kumbe hata simfahamu..
 
Really hujui faida za kubikiri?
.
Kama wewe ni Ke sema nikujuze ila kama ni Me utachapiwa sanaaa utakula maUsed sanaaa
Kama umezidi miaka 25 unaongea utumbo huo. Basi nakujuza leo,kuna fiuzi kichwani mwako zimelegea. Waambie waliokuleta duniani waanze kuhangaika na wewe mapema
 
Back
Top Bottom