Diamond Platnumz apata mtoto kupitia kwa mpenzi wake aitwaye Tanasha

Ajiandae kuwa single mother.
huu msemo huwa siuelewi kabisa. Hivi huwa ni "single mother" au "single parent". Maana mi nadhani all mothers are single mothers hata waliopo kwenye ndoa au wanaoishi na wenza, ila single parent ndio hiyo mzazi naachwa na mzazi mwenzie kulea na mara nyingi ndio hasa kina mama. sijui lakini ila nadhani ni single parent.
 
Mkuu acha direct translation. Huo msemo (kama unavyouita) uko sahihi kabisa.
Single mother ni mwanamke anayelea mtoto peke yake bila kuishi na mwenza wake.

Back
Top Bottom