Msanii marufu ajulikanae kama DIAMOND PLATNUMZ a.k.a CHIBU DANGOTE apata show ndani ya OWERI/NAIGERIA,itakayofanyika Desemba 28,2015.
Hawa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo.
-Mr. Flavor
-Phyno
-Praiz
-Lizzy Lu
-Yellow Mouth
-Xbusta
-F2 -DIAMOND PLATNUMZ=?∆JE UTANIPENDA??
Mziiki wetu umefika pazuri now dayZ.
Just keeping it up Wasafi.0ne day yes!! Wataelewa tuuh!! #JE UTANIPENDA??
Thamani ya show kama hii (sio thamani ya pesa) ni kubwa kuliko thamani ya show za UK au US. Kumbukumbu zangu zinanionesha hii ni mara ya kwanza kwa Bongo Flavor!! Big up Chibu Dangote.....