Diamond Platnumz apata show nchini Nigeria

Diamond Platnumz apata show nchini Nigeria

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Msanii marufu ajulikanae kama DIAMOND PLATNUMZ a.k.a CHIBU DANGOTE apata show ndani ya OWERI/NAIGERIA,itakayofanyika Desemba 28,2015.
Hawa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo.
-Mr. Flavor
-Phyno
-Praiz
-Lizzy Lu
-Yellow Mouth
-Xbusta
-F2
-DIAMOND PLATNUMZ=?∆JE UTANIPENDA??
Mziiki wetu umefika pazuri now dayZ.
Just keeping it up Wasafi.0ne day yes!! Wataelewa tuuh!!
#JE UTANIPENDA??
 
Last edited by a moderator:
18 December ===> Uganda
25 December ===> Dar, leaders club
28 December ===> Nigeria, Oweri

Je UTANIPENDA??
 
TRA wanajipatia mapato safi sana kijana

Sio mapato tu, kijana katoa ajira kwa watu wasiopungua 25 kutokana na anachofanya, licha ya mamilioni ya faida anazoipa tasnia na sekta ya burudani
 
saaafi kabisaaaaa hapa kazi tu majungu uko uko kwa king of coke ahahaha
 
Thamani ya show kama hii (sio thamani ya pesa) ni kubwa kuliko thamani ya show za UK au US. Kumbukumbu zangu zinanionesha hii ni mara ya kwanza kwa Bongo Flavor!! Big up Chibu Dangote.....
 
Back
Top Bottom