Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kuna school of thought kwamba kazi za Mondi zimeajiri vijana wengi kwenye vibanda vya kuuza kazi zake, Ma-DJ wenye vyombo vya muziki nk. Eti mapato ya makundi haya toka kwa baadhi yao ndiyo matoleo kwenye majumba wakfu (nyumba za ibada). Kumbe basi karama ya Mondi imetambuka hadi kwenye ibada licha ya kwamba huenda haendi hija.
Aliishajenga Tandale, Madale na Kigoma zamani sana mbona.Ni heri ajenge misikiti, madrasa, hospitals, shule, asaidie masikini/fukara wacojiweza, achimbe visima vya maji vijijini n.k
Wale matajiri wakubwa waliofanya innovation kama akina Elon musk, Billgates na Africa kama akina Dangote na Tz kama akina mo wapewe nini sasaMwanamuziki nguli anayetamba duniani kwa kazi zake na ukwasi mkubwa Naseeb Abdul Juma Issack almaarufu kama Diamond Platnumz anastahili kupewa tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa na vyuo maarufu duniani kwa jinsi ya mchango wake kwa mtu mmoja mmoja, jamii kwa upana wake, taifa/serikali (kupitia kodi anazolipa).
Ukimya wa taasisi za elimu ya juu duniani zikiwemo za ndani ya Tz unatia shaka kubwa kwasababu Bingwa huyu ame-reform wanamuziki wenzake na kutransform maisha ya vijana duniani kwamba alistahili hata nishani ya rais kama siyo tuzo ya Grammy. Uwezo wa Diamond haulingani na wa Khadija Kopa, Cpt. Komba na Mzee Nnauye ambao hawa wamefanywa/walifanywa Makada nguli wa chama tawala.
Matokeo ya kazi za Diamond katika tasnia ya muziki ni makubwa kuliko matokeo ya kazi za Maprofesa ambao hata wao wamestaafu bila hata single wakati ni wataalam wa muziki kwa ngazi ya uweledi wa uzamivu (PhD). Ziko wapi UDSM, OUT, SAUT, TUDARCO nk? Tunasubiri Mungu ampandishe cheo kwenda kwake ndiyo tumpe tuzo ambayo hatoiona kwa macho yake?
Tz tumpaishe Diamond wetu ili ulimwengu wa nje nao ujumuike nasi katika kumpaisha. Tuzo ya Muziki ya Grammy ndiyo inayoongoza dunia tangu karne ya 20 na ukiipata ile utakuwa na ela ya kuweza kufadhili bajeti ya serikali na kazi zako hazitakwama sokoni hata siku moja.
US ilimpaisha Jacko (Michael Jackson) hadi akaongoza dunia kwa kupata tuzo 100 hadi anafariki, katika hizo, ni Grammy Music Award ndiyo ilimpa kitita kilichomfanya billionaire. Sasa hapa kwetu CCM inamtumia Diamond kwa viwango vya chini mno ambavyo siyo hadhi yake. Siasa ni sumu.
Nadhani dunia imtendee Mondi haki anayostahili. Bila wivu kwa Diamond, Konde Boy hasingefanya bidii na kufanya vizuri kama anavyofanya hivyo Mondi amemtengeneza indirectly. Karibuni tujadili.
View attachment 2040703
Taswira kwa hisani ya google.
Waliogusa maisha ya jamii. Msukuma na Mondi nani kagusa maisha ya jamii?Kwani PHD sasa ivi imekuwaje wadau ama ni kama lawa lawa itolewavyo kwa watoto kipindi cha sikukuu [emoji848]??
Lakini PHD mtu mpaka kufika hapo nguvu ya ziada inatakiwa mkuu ndio nauliza kwani sasa ivi PHD inatolewa tu kama lawa lawa?Waliogusa maisha ya jamii. Msukuma na Mondi nani kagusa maisha ya jamii?
Wajuwaje kama hawana? Ni kwasababu tu hujapata kujuwa.Wale matajiri wakubwa waliofanya innovation kama akina Elon musk, Billgates na Africa kama akina Dangote na Tz kama akina mo wapewe nini sasa
Mkuu,Lakini PHD mtu mpaka kufika hapo nguvu ya ziada inatakiwa mkuu ndio nauliza kwani sasa ivi PHD inatolewa tu kama lawa lawa?
Jacko kwa uweusi wake Wamarekani wangemtosa asijulikane asilani, lakini kwa akili za Mzungu walimpaisha kwa kigezo tu cha kuwa Mmarekani hadi akaongoza dunia kwenye tasnia ya muziki na kulipa kodi kubwa serikalini. Ana tuzo 100 ikiwemo ya Grammy hadi anaaga dunia.Apewe PhD 7 kama za msukuma pia sanamu lake lijengwe mikoa yote tz hadi mlima kilimanjaro juu.
Kama hutaki nenda burundi mipaka iko wazi
Na Bakhresa tutasemaje??Jamaa anafanya kazi kubwa kaaajiri watu wengi ikiwamo madancer, IT na watu wenye taaluma tofauti imesaidia kupanua fursa ya kupunguza tatizo la ajira nchini lakini pia kampuni yake ya Wasafi inachangia kiasi kubwa kwenye kulipa Serikali kodi
Umetoa ushauri mzuri Sana.Ushauri kwa Diamond.
Kwakuwa Diamond ndiyo baba wa muziki Afrika kwa ukwasi na ufuasi, nadhani sasa atumie ukuu wake kubadili agenda ya muziki wa Tz toka kuwa mapenzi (mahaba) kwenda kwenye agenda za sayansi, teknolojia, kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii, rasilimali za nchi, elimu, michezo, maadili, imani, afya, tabia nchi nk.
Muziki wa Tz umekwama kwenye agenda moja ya mapenzi tuu tangu miaka ya '90s; kiasi kwamba ukiimba nje ya agenda ya mapenzi hujauza kazi zako. Hii inaashiria kwamba taifa lina uhitaji mkubwa kwenye suala la mapenzi kuliko kitu kingine.
Agenda ya mapenzi imeimbwa kwa namna ambayo imechochea machafuko kwenye mahusiano, mporomoko wa maadili na changamoto za afya ya uzazi.
Soma hii excerpt toka kwenye moja ya publications zangu:
In mid 1970s, there occurred grave drought that hit Ethiopia severely and given ideological battle that steered the world then, involving Addis, it became impossible for humanitarian support to easily flow to Ethiopia to rescue living hunger skeletons. After a while, pop idol Jacko [Michael Jackson [deceased]] sacrificed himself for the cause of dying generation of Queen of Sheba [Ethiopians] by composing a special music song dedicated to the state of historic hunger in Ethiopia, trying to awake the mercy of the world to stretch humanitarian hand towards Ethiopians. Jacko composed a soul touching and tearful message that thereafter saw the world breaking ideological margins and everywhere around the world there were fund raising events including diplomatic roundtables to solicit support from countries for Ethiopia.
World media played Jacko’s music to campaign for mercy for children, mothers, elderly, youth and disabled of Ethiopia. Jacko’s self sacrifice eventually made the world to witness millions of metric tons of food support and other essentials flowing to Addis. This is the love that the world has today lost, the love that considers no margin, the love that is contrary to that propagated by the Tanzania music fraternity. Around the world, poverty for love is relatively bigger than poverty for income. This is how the music artistes of Tanzania should reform their thematic compositions for their works. Until his demise, Jacko led the world by winning about 100 awards.
NB.
Mondi kwa kutumia ukuu wako, ni rahisi kubadili muziki wa Tz kuliko wanamuziki wadogowadogo wanavyoweza. Ujumbe huu ukufikie, BASATA, Wizara ya Habari, Vyama vya siasa na makundi maslahi katika jamii pana ya Tanzania.
Jacko (Michael Jackson) aliwahi kusema Waafrika wananuka.Apewe shahada ya falsafa ya nyimbo za matusi.
-- unataka Maji ya kisima unaogopa kuinama.
- weka mate nyoka ateleze pangoni.
- nyege nyege nyegezi.
Na matusi mengine mengi.
Mimi nasema apewe shahada ya falsafa ya heshima.
Wapi kasema ananuka?Jacko (Michael Jackson) aliwahi kusema Waafrika wananuka.
Alipokuja Tz alitaka apokelewe na rais tu na siyo mtu mwingine yeyote.
Huyu ndiye anaongoza dunia kwa tuzo 100 ikiwemo ya Grammy.
Duniani watakatifu ni robo tu, robo tatu ni wenye dhambi wakiwemo watukanaji.
Wananuka siyo ananuka! Soma hii:Wapi kasema ananuka?
Hayo ni maneno tu ya vijiweni.
Pia jifunze kutofautisha Kati ya kudhihaki na kutukana matusi.