Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

Johmakin ndio kafunika kuliko hata huyo Ndomo..na amekula shangwe nyingi sana Joh
#Diamond aangalie sana maana huku kufunikwa kunaendelea

Diamond ndo imetoka hiyo tena, toka sasa atafunikwa hadi itazoeleka tu kuwa ni kawaida yake kufunikwa.
Wale waliokupandisha juu ndio hap wanaokushusha chini.
Ova
 
Kiingilio kilikuwa shilingi ngapi leo? Hahahaaa
Ova
 

watoto wa uswazi hao hawaendagi kwenye shoo za kulipia hapo ata angekuja mr nice wangemzingira tu
 
ukweli unaanza kuonekana..sauti za kutengeneza studio mwisho wake stejini
 
naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote

diamond forever
 
Daimond's foreverrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 

Ndio muziki wa bongo huoo weweee Diamond waumizee kabisaaaaaaaaaaaa mtoto wa watu anaingiza pesa tu alaaaaaaaa
 
Ndio muziki wa bongo huoo weweee Diamond waumizee kabisaaaaaaaaaaaa mtoto wa watu anaingiza pesa tu alaaaaaaaa

Kashatengeneza mtonyo wake wa Coka...hana habari..wengine acha wale makelele...
 
Naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote.

basi mondi ni billionaire kama anauwezo wa kuhonga kiasi hicho, alafu kiba sio kwamba hana mashauzi, hana pesa??? hili nalo mnataka kuambiwa??? hana hela ataanzia wapi kujishauwa??
 

uuwii chibu weweweeeeee endelea kuwatumbua nyongo hawajui imekalia ini?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…