Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

Johmakin ndio kafunika kuliko hata huyo Ndomo..na amekula shangwe nyingi sana Joh
#Diamond aangalie sana maana huku kufunikwa kunaendelea

Diamond ndo imetoka hiyo tena, toka sasa atafunikwa hadi itazoeleka tu kuwa ni kawaida yake kufunikwa.
Wale waliokupandisha juu ndio hap wanaokushusha chini.
Ova
 
Kiingilio kilikuwa shilingi ngapi leo? Hahahaaa
Ova
 
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya coco beach
Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabid nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabik waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo.
Big up kwake kwa kuonyesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.

watoto wa uswazi hao hawaendagi kwenye shoo za kulipia hapo ata angekuja mr nice wangemzingira tu
 
Alipaform nusu saa na sio lisa na nusu. Diamond has one big problem, na ni kubwa sana. He has poor vocals, ana perform na playback music sio beat, akiimba sauti yake utakimbia. Joh makini performed next after dangote, jamaa ana flow na beat tu, na alimfunika mbaya
ukweli unaanza kuonekana..sauti za kutengeneza studio mwisho wake stejini
 
naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote

diamond forever
 
Alipaform nusu saa na sio lisa na nusu. Diamond has one big problem, na ni kubwa sana. He has poor vocals, ana perform na playback music sio beat, akiimba sauti yake utakimbia. Joh makini performed next after dangote, jamaa ana flow na beat tu, na alimfunika mbaya

Ndio muziki wa bongo huoo weweee Diamond waumizee kabisaaaaaaaaaaaa mtoto wa watu anaingiza pesa tu alaaaaaaaa
 
Naona dadamond katoa pesa nyingi sana kulipa watu kwenye mitandao ya kijamii ili wampe promo baada kuona anataka kuangukia pua mbona kiba hana hayo mashauzi lakini anatusua tu nyimbo moja tu imewakaba sehemu zote.

basi mondi ni billionaire kama anauwezo wa kuhonga kiasi hicho, alafu kiba sio kwamba hana mashauzi, hana pesa??? hili nalo mnataka kuambiwa??? hana hela ataanzia wapi kujishauwa??
 
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.

Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo.

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.

uuwii chibu weweweeeeee endelea kuwatumbua nyongo hawajui imekalia ini?????
 
Back
Top Bottom