Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
kumbe ngolo kante yeye ni tall eti?Nampongeza sana Diamond. Ila wabongo wafupi sana jamani. Tunakwama wapi? Maana hapo Diamond ndiyo anduje...au mambo ya chips mayai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ngolo kante yeye ni tall eti?Nampongeza sana Diamond. Ila wabongo wafupi sana jamani. Tunakwama wapi? Maana hapo Diamond ndiyo anduje...au mambo ya chips mayai?
Ananifurahishaga kante akitabasamu
Tuzo za wahamiaji UlayaKiba kapata hio tuzo pia sema tu hapend show off
Hiyo kauli ndio inampoteza huyu bwana mdogo (Ali kiba).. Anadumaa kiakil sasaKiba kapata hio tuzo pia sema tu hapend show off
We jamaa sometime unakuwa sio muelewa tuzo gani unayopata isijulikane hio kauli ni yakumkejeli kiba na hio kauli ni wamemnukuu kiba mwenyeweHiyo kauli ndio inampoteza huyu bwana mdogo (Ali kiba).. Anadumaa kiakil sasa
We jamaa sometime unakuwa sio muelewa tuzo gani unayopata isijulikane hio kauli ni yakumkejeli kiba na hio kauli ni wamemnukuu kiba mwenyewe
[/QUOTE
Kwani umeelewa nin kuhusu hii comment yangu Mkuu.. Kuna shida kidogo katika ubongo wako
Saafi sanaMsanii mkubwa wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz usiku wa Jana alifanikiwa kuchukua tuzo ya Philanthropic Endeavour community action kutokana na mchango mkubwa anatoa kwa jamii.Tuzo hizo zinahusisha wachezaji maarufu pamoja na watu mashuuri wanaofanya vizuri.
Tuzo hizo ziliudhuriwa pia na mchezaji wa zamani wa man United Rio Ferdinand ukiachana na Diamond lakini pia mchezaji maarufu wa Chelsea na team ya ufaransa N'golo Kante pamoja na Wilfred Zaha walipata pia tuzo na wengine baadhi.
Lakini pia msanii wetu Diamond alipata fursa pia ya kuhojiwa na kituo kikubwa Cha uingereza sky sport.
NB: naona kijana azidi kututoa kimasomaso.
-----
Wengine walioshinda kwenye Tuzo hizo zilizotolewa Jijini London, Uingereza. Ni Fuse ODG, Wilfried Zaha, Mosamba, N’golo Kanté, Stormyz, Pia tuzo hizo zilihudhuriwa na watu mbalimbali maarufu akiwemo mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand.
Tuzo za BOA zinafanyika mwaka huu kwa mwaka wa 8 mfululizo, Na huwa zinawaleta pamoja watu mbalimbali ambao wanaunga mkono na kushiriki kwenye maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika bara la Afrika, pamoja na kuwapa Tuzo washindi wa vipengele mbalimbali.
Tuzo za Best of Africa huwa zinawahusisha zaidi wanasoka pamoja na watu mashuhuri ambao wanafanya vizuri kutoka Afrika.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kiba kapata hio tuzo pia sema tu hapend show off
Ni kanuni ya ulimwengu sio Tanzania tu!Tanzania Mtu Akishakuwa Na Mamlaka Kidogo Na Vipesa, Anaabudiwa Kinyama