lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Msanii Diamond Platnumz akiongea katika uzinduzi wa album ya Barnaba classic iitwayo Love Sounds Different, amesema wasanii wengi wanakwama Kwa kukosa usimamizi na uwekezaji wa pesa. Diamond Platnumz amemtolea mfano msanii Aslay na kusema msanii huyo ana kipaji kikubwa sana angekuwa chini yake angefika mbali zaidi ya alipo Sasa.
Source; Wasafi TV
Source; Wasafi TV