Hadi sasa barnaba kashaanza kupata faida ya album yake imeshagonga 1M+ boombay kwa siku 2 tu tangu alireleeseNgoja tuone kwa barnaba sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa barnaba kashaanza kupata faida ya album yake imeshagonga 1M+ boombay kwa siku 2 tu tangu alireleeseNgoja tuone kwa barnaba sasa
Umeshikilia mtoto juu,anakutemea mate unamuachia,hii inaonyesha ni kwa namna gani umepishana naye ukubwa wa kichwa tu.Tamaa,
Ndo Cha cha kuvunjika kwa yamoto band
Akihamasisha wenzake wamkatae mkubwa fella, kwamba anawanyonya
Fella akawaachia vijana kila mmoja apambane na Hali yake, mbosso tu ndo akabaki nae na kwenda nae wasafi
Zuchu kampaisha,hao wengine sidhani kama Wana kipaji kama Cha Aslay na ndo maana Dai ameanza Kwa kusema ana kipaji kikubwa sana ila anakosa usimamizi.Mbosso, Queen Darlene, Zuchu na Lava lava ameshawafikisha mbali wapi??
Mbosso na Zuchu wako mbali sana, Queen na Lava lava hawana hata robo ya kipaji cha Aslay, ndio maana akatoa mfano kwa Aslay kwa kipaji kile angekuwa mbali kama angekuwa chini yakeMbosso, Queen Darlene, Zuchu na Lava lava ameshawafikisha mbali wapi??
Taja msanii yoyote wa kike aliyemzidi Zuchu kwa kufanya vizuri hapa tz?Yuko mbali wapi?
Aslay uko aliko anapata asilimia ngp za mziki wake?!!Anaitamani 60% ya aslay kweri-kweri
100Aslay uko aliko anapata asilimia ngp za mziki wake?!!
Swali zuri akajibu nitagAslay uko aliko anapata asilimia ngp za mziki wake?!!
Mbona ni msanii kachoka Sana na afanyi vizuri kwenye industry ya mziki kama awali
Dogo ino unajuaje kuwa mwaume mwezako kachoka sana?Mbona ni msanii kachoka Sana na afanyi vizuri kwenye industry ya mziki kama awali
Mkuu kuna wakati ebu acha ushabiki wa kimaandazi kwenye vitu vinavyoonekana waziDogo ino unajuaje kuwa mwaume mwezako kachoka sana?
Acha kucheuwa migebuka.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Msanii Diamond Platnumz akiongea katika uzinduzi wa album ya Barnaba classic iitwayo Love Sounds Different, amesema wasanii wengi wanakwama Kwa kukosa usimamizi na uwekezaji wa pesa. Diamond Platnumz amemtolea mfano msanii Aslay na kusema msanii huyo ana kipaji kikubwa sana angekuwa chini yake angefika mbali zaidi ya alipo Sasa.
Source; Wasafi TV