Diamond Platnumz: Aslay angekuwa chini yangu angefika mbali zaidi

Diamond Platnumz: Aslay angekuwa chini yangu angefika mbali zaidi

Tamaa,
Ndo Cha cha kuvunjika kwa yamoto band
Akihamasisha wenzake wamkatae mkubwa fella, kwamba anawanyonya

Fella akawaachia vijana kila mmoja apambane na Hali yake, mbosso tu ndo akabaki nae na kwenda nae wasafi
Umeshikilia mtoto juu,anakutemea mate unamuachia,hii inaonyesha ni kwa namna gani umepishana naye ukubwa wa kichwa tu.

Ukweli ni kwamba hao wazee akili zilihamia kwa diamond na kuiona kula yao iko huko.
 
Mbosso, Queen Darlene, Zuchu na Lava lava ameshawafikisha mbali wapi??
Mbosso na Zuchu wako mbali sana, Queen na Lava lava hawana hata robo ya kipaji cha Aslay, ndio maana akatoa mfano kwa Aslay kwa kipaji kile angekuwa mbali kama angekuwa chini yake
 
Msanii Diamond Platnumz akiongea katika uzinduzi wa album ya Barnaba classic iitwayo Love Sounds Different, amesema wasanii wengi wanakwama Kwa kukosa usimamizi na uwekezaji wa pesa. Diamond Platnumz amemtolea mfano msanii Aslay na kusema msanii huyo ana kipaji kikubwa sana angekuwa chini yake angefika mbali zaidi ya alipo Sasa.

Source; Wasafi TV
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom