Diamond Platnumz : Atakapobugi na kujutia maisha yake yote

Nimekubali dunia ni uwanja wa fujo. Kama ingekuwa so haki za binadamu au mtoa mada angeishi enzi za mtemi Mirambo au Mkwawa wangeshamchinja siku nyingi ili waendelee na shughuli nyingine.

Haki za binadamu mwache aandike.
 
Inaonekana we ni mhanga wa kutafuta
wanawake ..unatongoza ila hufanikiwii
dizaini kama unanyota ya bundii

Mi mwanaume na mindevu yangu unaniita dada .[emoji15] [emoji15] ..nitake radhii kabla sija kupa nakozii za menoo

Naomba radhi mkuu niliona kama da kitambi kumbe ni dekitambi
 
Principle ya maisha ni hivi mfano Diamond kama hajamsamee mzee wake kwa vitu alivyowafanyia basi kwa namna yoyote ile atakuja kua kama baba yake kwa mwanaye au wanae...ukiwa una beba uchungu.hua unakawaida ya kurudia kurudia vitu vile vile yani kwa kifupi ..Hurt people hurt people watu walioumizwa huumiza wengine...
 
hizi nyuzi zenu sijui mnafikiriaga nini!! watu wanatafuna mpaka mahausigeli sembuse kavideo kwini katamu vile.. [emoji57]
 
Yeye huyo baba Dayamondi alishaomba radhi kwa vitu alivyowafanyia?
 
Ka
Nami najua mtu aliyeumizwa huwa anayajua maumivu ya kuumizwa na huitumia hiyo tajiriba kuepuka kuumiza wengine kwa sababu anayajua maumivu ya kuumizwa.
Kama alishaumizwa kwanini asiumize wengine wakati ana uchungu? huyo anaye epusha kuumiza watu au mtu mwingine jua kesha samehe..dawa ya kuumizwa ni kusamehe bila kusamehe utaumiza tu wengine either kwa kujua au kutokujua...
 
Hiyo siyo kanuni mpaka useme kuwa aliyeumizwa naye ni lazima atakuja kuumiza wengine.

Kuna wengi tu waliowahi kuumizwa na hawakusamehe lakini pia hawakuumiza wengine.

Kwa hiyo hakuna kanuni hapo.
 
inamana blaza mond kale kabinti amekula au ndo anatoka nacho saivi
 
Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi yamempatia kick haswa, kwa kuangalia wema, wolper, uwoya, penny, na hata mama ake mama zari hassan.

Jamaa kama haka katoto ka video queen ka " kwetu by raymond" anakatumia kwa ajili ya kick basi itakuka kum cost sana kwa mwanae tiffah dandangote, naongea kama baba wa mtoto nimegombana na mama wa mtto wangu lakini hatuwezi kumu involve mtoto kama tiffah maskini ya Mungu, mtoto hajui chochote, atamchukia baba yake maisha yake yote, mbaya zaidi hapa nilipo ninaweza kusoma habari zilizokuwa mtandaoni miaka ya 90's

Aangalie mfano wa mme mwenzake ivan wa south africa aache uswahili wa tandale, yeye ni international icon afterall hako kademu kamepigwa mtungo mara kibaoo
Bado ana asilimia sio chini ya 30% za utoto kwa vyovyote hata kuelewa na pengine ataona una muonea wivu,familia ndio yenye nafasi kubwa ya kuamua juu ya mahusiano yake, unapoteza tu muda.
 
hizi nyuzi zenu sijui mnafikiriaga nini!! watu wanatafuna mpaka mahausigeli sembuse kavideo kwini katamu vile.. [emoji57]

Ishu ni kuwa wameanza kumchanganya mtoto kwenye mambo yao haya mambo mimi ndio ninaona siyo, wakaache katoto kazuri kakue kwa amani
 
7f901c6dd90b24224f61f52fcf9ca32a.jpg
 
Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi yamempatia kick haswa, kwa kuangalia wema, wolper, uwoya, penny, na hata mama ake mama zari hassan.

Jamaa kama haka katoto ka video queen ka " kwetu by raymond" anakatumia kwa ajili ya kick basi itakuka kum cost sana kwa mwanae tiffah dandangote, naongea kama baba wa mtoto nimegombana na mama wa mtto wangu lakini hatuwezi kumu involve mtoto kama tiffah maskini ya Mungu, mtoto hajui chochote, atamchukia baba yake maisha yake yote, mbaya zaidi hapa nilipo ninaweza kusoma habari zilizokuwa mtandaoni miaka ya 90's

Aangalie mfano wa mme mwenzake ivan wa south africa aache uswahili wa tandale, yeye ni international icon afterall hako kademu kamepigwa mtungo mara kibaoo
Dua la kuku
 
Muache awatafune wamemkataa sana na kumtesa kipindi hajatoka.
 
Back
Top Bottom