[emoji38] yaani nimecheka kwa sauti.Nikiona tu penye neno uchawi au kichawi au mchawi napatamani kama ulimbo
Masnuraaa!Kugonga agonge Mondi
Wewe mapovu yanakutoka [emoji28]
Principle ya maisha ni hivi mfano Diamond kama hajamsamee mzee wake kwa vitu alivyowafanyia basi kwa namna yoyote ile atakuja kua kama baba yake kwa mwanaye au wanae...ukiwa una beba uchungu.hua unakawaida ya kurudia kurudia vitu vile vile yani kwa kifupi ..Hurt people hurt people watu walioumizwa huumiza wengine...
Mmi sijui ila najua mtu alieumizwa hua anaumiza wengine...Yeye huyo baba Dayamondi alishaomba radhi kwa vitu alivyowafanyia?
Mmi sijui ila najua mtu alieumizwa hua anaumiza wengine...
Kama alishaumizwa kwanini asiumize wengine wakati ana uchungu? huyo anaye epusha kuumiza watu au mtu mwingine jua kesha samehe..dawa ya kuumizwa ni kusamehe bila kusamehe utaumiza tu wengine either kwa kujua au kutokujua...Nami najua mtu aliyeumizwa huwa anayajua maumivu ya kuumizwa na huitumia hiyo tajiriba kuepuka kuumiza wengine kwa sababu anayajua maumivu ya kuumizwa.
Ka
Kama alishaumizwa kwanini asiumize wengine wakati ana uchungu? huyo anaye epusha kuumiza watu au mtu mwingine jua kesha samehe..dawa ya kuumizwa ni kusamehe bila kusamehe utaumiza tu wengine either kwa kujua au kutokujua...
Bado ana asilimia sio chini ya 30% za utoto kwa vyovyote hata kuelewa na pengine ataona una muonea wivu,familia ndio yenye nafasi kubwa ya kuamua juu ya mahusiano yake, unapoteza tu muda.Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi yamempatia kick haswa, kwa kuangalia wema, wolper, uwoya, penny, na hata mama ake mama zari hassan.
Jamaa kama haka katoto ka video queen ka " kwetu by raymond" anakatumia kwa ajili ya kick basi itakuka kum cost sana kwa mwanae tiffah dandangote, naongea kama baba wa mtoto nimegombana na mama wa mtto wangu lakini hatuwezi kumu involve mtoto kama tiffah maskini ya Mungu, mtoto hajui chochote, atamchukia baba yake maisha yake yote, mbaya zaidi hapa nilipo ninaweza kusoma habari zilizokuwa mtandaoni miaka ya 90's
Aangalie mfano wa mme mwenzake ivan wa south africa aache uswahili wa tandale, yeye ni international icon afterall hako kademu kamepigwa mtungo mara kibaoo
Halafu wewe!! Natamani cku moja ningekutia machoniNikiona tu penye neno uchawi au kichawi au mchawi napatamani kama ulimbo
hizi nyuzi zenu sijui mnafikiriaga nini!! watu wanatafuna mpaka mahausigeli sembuse kavideo kwini katamu vile.. [emoji57]
hahahaaaaa una salivate...Nikiona tu penye neno uchawi au kichawi au mchawi napatamani kama ulimbo
Me too. Mara tiffah mara mtungo mara nn. MweehSijaelewA hapa?! Nimetoka kapa wajameni
Dua la kukuLeo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi yamempatia kick haswa, kwa kuangalia wema, wolper, uwoya, penny, na hata mama ake mama zari hassan.