Diamond Platnumz atakuja kuwa kama Mr. Nice asipoangalia

Diamond Platnumz atakuja kuwa kama Mr. Nice asipoangalia

kwa mara ya kwanza jana nilikutana na mr nice maeneo ya shekilango nilipokuwa napata chakula duh jamaa ni muongeaji sana yaani alikuwa anakula vyombo alafu na muda wote anaongea yeye akielezea jinsi gani laikuwa akijaza kumbi na watu walivyouwa wanmpenda yaani toka nimekaa pale mpk naondoka alikuwa anaongea yeye tu na kuelezea show zake kali alizokuwa amewahi kufanya ndani na nje ya nchi.
 
Ungeendeleza hapo nilipoishia kuandika kwako wewe unadhani kuandika maneno mengi ni kutoa hoja za msingi wakati unaweza ukawa umejaza uharo tu

yaan pangetolewa fungate ya ban, ngekukimbusha wajibu wako kwa masingi, unaquote habari nzima kwa comment hyo, utatujazia nafasi kif@l* hvo, huna adabu...
 
Mizunguko yake alikua anatumia magari zaidi ya nane yasiyozimwa ac masaa 24 halafu anamsingizia Mungu kwenye sakata lake la kufulia!!!
 
Lilikua halina akili hili fala, likakomaa na nyimbo za wtt tu bila kusoma soko linatakaje, wenzake wakipata mafanikio wanawekeza kwenye vitu vingine tofaut na mzik ili cku mzik ukikataa anapiga hela kwingine,.. Lenyewe likakomaa na kikulacho tu,,,Jamaa kende Kweli Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond,ukimfatilia vizuri utagundua kitu,huwa haridhiki kila siku anajiona underground,ana tamaa ya mafanikio,tunamwita star,but yeye anataka kuwa zaid ya star pia licha ya matanuz na mademu kwenye viwanja kadhaa,anaheshimu pesa mno.kwa Mr nice sijuwi kitu coz sina ukaribu nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom