Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
yaan pangetolewa fungate ya ban, ngekukimbusha wajibu wako kwa masingi, unaquote habari nzima kwa comment hyo, utatujazia nafasi kif@l* hvo, huna adabu...
Diamond sio easy kiivyo because ame invest tofauti na wasanii wengine wa bongo.kazi kwako diamond.
Kainvest nini na wapi?Diamond sio easy kiivyo because ame invest tofauti na wasanii wengine wa bongo.
Mmmmmmmm kumbe ujui?
Ndio nimeomba kujuzwa mkuu, tunapaswa kujifunza kupitia mafanikio ya wenzetuMmmmmmmm kumbe ujui?