Diamond Platnumz atakuja kuwa kama Mr. Nice asipoangalia

Kizazi cha YouTube hiki

Ndio maana jamaa hawana uoga kiivyo

Unaweza kuta katoa nyimbo mbovu mbovu tu kaipandisha huko YouTube inakula views 5 mil chap chap

Anakunja mkwanja wake anasepa

So Hawa ambao wameteka soko la YouTube at least Wana afadhali hawata kufa njaa Ila kipato kitashuka


Mr Nice ana bahati mbaya alivuma enzi show tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa kubeti! Sio kila kitu unabetia tu vingine we angalia mpaka hapo vitakapoishia km ukibahatika kuipata Bahati hiyo
 
Mr nice,juma nature,Dudu baya,TID,hakuna aliyefika hata robo ya kiwango cha Mond,
Mond,kushuka ni sawa sawa na kusema usikie,Azam,au bakhressa,au Sahara media imefirisika,Mond yupo mbali sana,hata akiacha kuimba Leo,property alizonazo,sitampa cash mpaka anakufa,Mond yupo kwenye nyayo za kina Puff dady,Jay z,Dre,Fifty cent,hawashuki,wanabadilisha Chanel tu zakuingiza pesa
 
Du we jamaa sio kwa sifa hizi aisee...
 
Mkuu una mrejesho wowote?
Dah uzi huu nilikua miaka 6 mdogo kuliko sasa. Muda unaenda sana.
 
Funzo....
 
unasemaje wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…