Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwanamuziki Diamond Platnumz leo hii ameweka picha ya mama yake mzazi na kumsifu kwa maneno matamu katka kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Katika maandishi hayo Diamond ametangaza kiaina kwamba kama Mungu akijaalia (Inshallah) ataoa ndani ya mwaka huu ili kumfurahisha mama yake..
Katika maandishi hayo Diamond ametangaza kiaina kwamba kama Mungu akijaalia (Inshallah) ataoa ndani ya mwaka huu ili kumfurahisha mama yake..