Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mtu km mondi kunioa nooo....Anamuwowa nani?
We mburundi hivi operation kimbunga inarudi lini?Wowa tu Simba! Talaka ni matokeo tu ucjal.
Kwann ?Mi mtu km mondi kunioa nooo....
Mama's boy yulee
HahahaaaaHuo ni mtego kwa mademu hili awakaze sana
Anadai mond ni mtt wa mamaKwann ?
Halafu sijui kama anaweza kuishi na mwanamke kindoa yule....sijui kwanini roho yangu inaniambia hivyoo! Yaani ni hajatulia hataMi mtu km mondi kunioa nooo....
Mama's boy yulee
Ok , mtoto wa mama si ndio mzuriAnadai mond ni mtt wa mama