Diamond Platnumz "atangaza" kuoa mwaka huu

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwanamuziki Diamond Platnumz leo hii ameweka picha ya mama yake mzazi na kumsifu kwa maneno matamu katka kuadhimisha siku ya wanawake duniani.

Katika maandishi hayo Diamond ametangaza kiaina kwamba kama Mungu akijaalia (Inshallah) ataoa ndani ya mwaka huu ili kumfurahisha mama yake..
 

Kumbe Wanaume wa siku hizi huwa tunaoa ili kuwafurahisha Mama zetu na siyo kutimiza wajibu wa Kiimani kuwa kila Mwanaume ataoa na kila Mwanamke ataolewa ili kuongeza dunia na kutotenda dhambi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu aliipinga katika maandiko yake ya Uzinifu?

Kazi ipo!
 
Huu udaku huu. Mi nilifikiri umelewa kadi ya mwaliko wa harusi!
 
Kwahiyo huyo dogo kuoa sisi inatuhusu nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…