Diamond Platnumz "atangaza" kuoa mwaka huu

Kiki kwa pikipiki sio habari hatakua wa kwanza wala wa mwisho
 
Hiyo ndo raha ya wanaume ukiondoka napachika mwingine kisha life linasonga
teh teh zariiiiiiiii!
 
Diamond ni mtu wa uswahilini kweli kweli
Yaani unaoa kumfurahisha mama yako?
Pamoja na kutembea sehemu nyingi duniani Diamond bado mshamba sana.
 
Mi mtu km mondi kunioa nooo....
Mama's boy yulee
Halafu sijui kama anaweza kuishi na mwanamke kindoa yule....sijui kwanini roho yangu inaniambia hivyoo! Yaani ni hajatulia hata

Hivi hakumpenda Zari? Nastaajabu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…