Diamond platnumz atawala chart za Kenya na Tanzania Boomplay kwa wanamuziki wa TZ.

Hata nikikwambia nina miliki nini au nina level ipi ya elimu au nina mpango gani wa maisha HAITOKUSAIDIA wala HAYA KUHUSU.

Ila nipo vizuri sana kiuchumi mpaka kielimu,pili nimejiunga JF mwenyewe hamna mtu wa kunipangia cha kupost so kama nakukera fanya kama huzioni post zangu kwani nitaendelea kupost kile nikitakacho.
Km ulizaliwa mwaka 1989 kwa sasa una miaka 30.... ni vyema ukaanza kufikiri / kuwaza mambo ya maana kwa faida ya maisha yako baadae.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakununulia bando naona[emoji16]
 
Mondi anatisha ile mbaya na atazidi kuwaburuza wasanii wengine Sana.
 
Umeona top 3 jeshi hakosi yupo yupo kote eti bado mnamlinganisha na nyegezi na vumbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona king hayupo kwenye list zote? na wakati kuna kipindi alitumia nguvu kubwa sana huko kenya mpaka kudai kazimishiwa mic. ina maana hawajamuona? au ngoma zake ni mbaya? du! mond sio poa hvyo mwenzio atajinyonga. why always you?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba kaingia Top 10 billboard sema hapendi show off [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…