Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
POVU!!!Hata nikikwambia nina miliki nini au nina level ipi ya elimu au nina mpango gani wa maisha HAITOKUSAIDIA wala HAYA KUHUSU.
Ila nipo vizuri sana kiuchumi mpaka kielimu,pili nimejiunga JF mwenyewe hamna mtu wa kunipangia cha kupost so kama nakukera fanya kama huzioni post zangu kwani nitaendelea kupost kile nikitakacho.
Sent using Jamii Forums mobile app