BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
i like thatHapo alikuwa anamwambia, "ule msambwanda hata mi mwenyewe sijui kama ni original au wa kichina".
Duuuh buree kabisaa wwWiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kufungia nyimbo za wasanii bila kuzingatia hasara na usumbufu wanaopata.
Lakini Juzi ameonekana Akiteta jambo na Mh Rais... huwenda Kuna mambo makubwa yanakuja kufanyika katika tasnia Ya Bongoflava na sanaa Kwa Ujumla.
View attachment 734841
pita hivi and kick the bucketDuuuh buree kabisaa ww