Diamond Platnumz ateta jambo na Mheshimiwa Rais

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kufungia nyimbo za wasanii bila kuzingatia hasara na usumbufu wanaopata.

Lakini Juzi ameonekana Akiteta jambo na Mh Rais... huwenda Kuna mambo makubwa yanakuja kufanyika katika tasnia Ya Bongoflava na sanaa Kwa Ujumla.

Screenshot_2018-04-05-07-38-24-1.jpg
 
Wabongo bwana kuteta kwa dakika 1 tu imekuwa habari
 
Hapo alikuwa anamwambia, "ule msambwanda hata mi mwenyewe sijui kama ni original au wa kichina".
 
Wiki mbili zilizopita jina la Diamond Platnumz lilipamba vichwa vya habari. Hiyo iliyokana na mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha Times Machi 19 mwaka huu, akimlalamikia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kufungia nyimbo za wasanii bila kuzingatia hasara na usumbufu wanaopata.

Lakini Juzi ameonekana Akiteta jambo na Mh Rais... huwenda Kuna mambo makubwa yanakuja kufanyika katika tasnia Ya Bongoflava na sanaa Kwa Ujumla.

View attachment 734841
Duuuh buree kabisaa ww
 
Back
Top Bottom