Diamond platnumz athibitisha kuhudhuria mazishi ya Ivandon

Dah..Diamiond bana....
Yaan haya mambo ya mapenz kizungumkuti....Diamond inawezekana ni mtoto wa tano kweli aiseee...usikute kuna vitu tunafichwa au ni kama tamthilia tu
 
Kifo kimeshindwa kuzoeleka jaman , msiba unauma sanaa najaribu kuvaa viatu vya Zari vinanipwaya hyo picha ya chini nmeshindwa kuvumilia nikajkuta nalia kweli unatamani iwe ndoto lkn haiwezekani
Pole kwa Zari na watt wake Mungu awatie nguvu
 
Kwetu wana imani chafu sana. Wanasema ukiona mazishi ya mtu flan wamehudhuria walevi wengi, jamaa kaenda fayani. Ukiona lugha za matusi mengi mengi kunako msiba jua pia jamaa kaenda fayani. Sasa mbona tena jamani mnaleta michangu ya kutukana sijui minininini? humu jamani?? Huu ni mchango wa mazishi ya marehem Ivan. Kama kakukosea hutakaa ukutane naye tena. Si usahau tu
 
Kwakweli Diamond ni mtu ambaye sisi wanaume inabidi tuige yale mazuri ambayo kwa namna moja au yanapaswa kuiga,hongera sana kwa Diamond na washauri wake.

Kuna cha kuiga kweli hapo bro?? Stress zinaigwa?
 
Nashauri asiende yanaweza mkuta makubwa wanafamilia hawana furaha Diamond kupora mke wa ndugu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…