Diamond platnumz athibitisha kuhudhuria mazishi ya Ivandon

Diamond platnumz athibitisha kuhudhuria mazishi ya Ivandon

sijawahi kuonaga mtu kaalikwa msibani...wengi wetu tunajialika wenyewe...msiba hauna kadi ya mwaliko jamani
 
Na waganda wanavyopenda kutetana...alafu wakute hujui kilugha chao hadi salamu watajidai wanakusalimia kumbe ni tusi we ukiitikia tu tayari umeridhia hilo tusi.
Kweli unawafahamu
 
Sema wanawake mi nmewavulia kofia kwa unafiki,hivi zari anakipi cha kumlilia mshikaji,!?si alishamuona hafai kitambo..!!michozi mwamwa!
Labda walikubaliana huwezi jua jamaa dushe ilishakataa kazi si unajua mambo ya Usangoma wake
 
Msukule wa mange bana
Ndoa ya kwanza alizaa binti ndoa ya pili madume 3 ndoa ya tatu 2
Huyo binti wa kwanza anaitwa nani?
Lini dai alimuoa zari,harusi ilikuwa wapi?
 
Msukule wa mange bana

Huyo binti wa kwanza anaitwa nani?
Lini dai alimuoa zari,harusi ilikuwa wapi?
Herufi K halafu uma wewe unadhani kila mtu anategemea habari za mtandao kama wewe sisi tunawajua toka wakiwa waganga kule Pretoria
 
Dada yangu,Mbona unapanic,swali kidogo umeshanuna ndoa itakushinda mapema
Herufi K halafu uma wewe unadhani kila mtu anategemea habari za mtandao kama wewe sisi tunawajua toka wakiwa waganga kule Pretoria
 
Ha
Kwa hiyo nkewe Dimond ana watoto 5
Hata akiwa nao 10 kuna shida gani. Raha ya Mahusiano Watoto. Wana uwezo nao wa shule, tiba, mavazi, nyumba, mlo, malazi, usafiri na starehe zote wanazotamani Watoto. Siyo watoto wa kuchezea Vifuu na vizibo vya Soda! Hiyo Couple imebarikiwa.
 
Back
Top Bottom