Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yote maisha jamani...kwani dai yeye ndo wa kwanza kukumbana na kadhia kama hiyo...wangapi tunaishi nao mitaani kwetu hayo wamepitiaaNa ndio inatakiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una roho mbaya kama ma bukta ya lemutuz...
Kweli unawafahamuNa waganda wanavyopenda kutetana...alafu wakute hujui kilugha chao hadi salamu watajidai wanakusalimia kumbe ni tusi we ukiitikia tu tayari umeridhia hilo tusi.
Jumla 6Kwa hiyo nkewe Dimond ana watoto 5
FurahaMalaya tu alikosa nn kwa ivan?
Labda walikubaliana huwezi jua jamaa dushe ilishakataa kazi si unajua mambo ya Usangoma wakeSema wanawake mi nmewavulia kofia kwa unafiki,hivi zari anakipi cha kumlilia mshikaji,!?si alishamuona hafai kitambo..!!michozi mwamwa!
Kilicho nyuma ya pazia haukijui kaa kimyaSema wanawake mi nmewavulia kofia kwa unafiki,hivi zari anakipi cha kumlilia mshikaji,!?si alishamuona hafai kitambo..!!michozi mwamwa!
We nani mpka unikalishe kimya!? Mkemweza wa zari!?Kilicho nyuma ya pazia haukijui kaa kimya
Rambirambi zako wanazihitaji kule sio Kagera wala ArushaHuu msiba umeniuma mno jamani dah.
R I. P Ivan [emoji24]
Ndoa ya kwanza alizaa binti ndoa ya pili madume 3 ndoa ya tatu 2Nadhani wa sita ni diamond mwenyewe eeh?
Herufi K halafu uma wewe unadhani kila mtu anategemea habari za mtandao kama wewe sisi tunawajua toka wakiwa waganga kule PretoriaMsukule wa mange bana
Huyo binti wa kwanza anaitwa nani?
Lini dai alimuoa zari,harusi ilikuwa wapi?
Hata akiwa nao 10 kuna shida gani. Raha ya Mahusiano Watoto. Wana uwezo nao wa shule, tiba, mavazi, nyumba, mlo, malazi, usafiri na starehe zote wanazotamani Watoto. Siyo watoto wa kuchezea Vifuu na vizibo vya Soda! Hiyo Couple imebarikiwa.Kwa hiyo nkewe Dimond ana watoto 5