Diamond platnumz athibitisha kuhudhuria mazishi ya Ivandon

ndo ujue pesa sio kila kitu mbwigila wewe
alichokifata kwa nasibu ndicho alichokikosa kwa ivan
Alikikosa wakati wote anazaa naye watoto watatu.

Kwahiyo hata akiongeza mwingine kwa Diamond bado kuna vitu aweza kuwa anavikosa
 
Good decision kwa kweli! Mola awalinde hao watoto 3 ambao hawana baba!
 
Sema wanawake mi nmewavulia kofia kwa unafiki,hivi zari anakipi cha kumlilia mshikaji,!?si alishamuona hafai kitambo..!!michozi mwamwa!
Kuachana haimaanishi ni uadui...
Despite all the drama they still had happy moments together,and that includes those three KIDS.
Acha tabia za kiswahili bhana.
Nyie ndio mkiachwa mna jenga bifu.
 
mara ndo maiti igome kuzikwa hadi diamond atoke msibani mmh! aibuje

(sio mimi kuna dogo hapa ndo kawaza hivyo eti)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…