Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya
kila mwaka ya jarida la New Africa lenye makao
yake jijini London, Uingereza ya Waafrika 100
wenye ushawishi zaidi mwaka 2015
Orodha hiyo hujumuisha Waafrika waliofanya
mambo makubwa kwenye sekta nane zikiwemo
Siasa (22); Public Office (4); Sanaa na
Utamaduni (21); Biashara (21); Civil Society (11);
Technology (9); Media (7); and Sports (5).
Nigeria na Afrika Kusini imetawala orodha hiyo
kwa kuwa na watu 20 na 16. Kenya, Uganda na
Cameroon zina watui sita kila moja
Viongozi waliomo kwenye orodha hiyo ni pamoja
na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na
aliyemrithi Dr Goodluck Jonathan, Ellen Johnson
Sirleaf wa Liberia, Alpha Conde wa Guinea na
Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone.
Pamoja na Diamond, mastaa wengine waliomo ni
pamoja na Akon, Lupita Nyong?o, Trevor Noah na
d Linda Ikeji
Kuhusu Diamond, jarida hilo limeandika
Winner of the 2015 MTV Africa Music Award for
Best Live Act, as well as Best African Live Act at
the 2015 European Music Awards (EMAs), Diamond
Platnumz is undoubtedly on of the continent?s
biggest mussicians having made a tremendoud
impact on the industry both local and global with
hits such as ?Number one? which featured the
talented Nigerian Davido and garnered him a huge
following on social media this Tanzanian artist?s
influence is most palpable amoungst the African
youth and through the conversations they about
him online. Tanzania did not just gain a new
President in 2015 but ana international superstar
making his country proud as well.