chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa.
Bravo mond!!
Bravo mond!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi raha hadi sina la kuandika zaidi
Hongera Diamond
Ali Kiba Chagua Wachawi Wako kati ya wafuatao.
1.Manejimenti.
2.Mashabiki.
3.Kutokuwa na Juhudi binafsi.
4.Wanaokushirikisha ya kwamba unasauti nzuri.
5.Wanasemaga eti!nyimbo zako si za mapenzi.(zaelimisha jamii)
6.Kujiita kwako Mfalme wa Bangoflavor.
7....... .......
8...............
9...............
10.............
Hahahahahah umenifurahisha sana.mtt wa Tandale anazidi kutupa raha.
AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa.
Bravo mond!!
Hadi raha mnyoosho wa mwaka huu ni hakunaga
Ma msapu wake alishamshauri aachane na habare za kutafuta wachawi apige kazi, sa sijui kazii ipi au kazi ya usafi wa tarehe 9 December....