Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Heeheee poa poa

Mwamba kaja kitakatifu now[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Haahaaa
 
Heeheee poa poa

Mwamba kaja kitakatifu now[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Haahaaa
Ukiona gari imewaka Jf kuna mijadara unakaa nayo mbali, hukawii kupigwa bun πŸ˜€πŸ˜€ watu wana mambo ya kishirikina sana humu
 
Ukiona gari imewaka Jf kuna mijadara unakaa nayo mbali, hukawii kupigwa bun [emoji3][emoji3] watu wana mambo ya kishirikina sana humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] asee domo kamponza best yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] asee domo kamponza best yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
RR imekuwa gumzo kila mahala, Dimaond kajua kuwapa watu kazi ya kufatilia gari ambazo hata mtaani kwao huenda hawatokuja kuziona zikipita πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚
 
November unachukua hii?[emoji849][emoji849]

Ndinga gani hii hebu piga njee
πŸ˜€πŸ˜€ November itakuwa inazunguka viunga vya uswazi.. mataa kama yote yaani soft touch , ukiendesha night peke yako, unaweza jikuta inakuilanisha unalala bila kujua .. hiyo ni Mereces Benz
 
Hata diamond nae pale kanasa, sijui linampaga manini.. usema lina guu tamu [emoji39][emoji39][emoji39] akivaaga na kile kikuuu nabaki nameza mate tu.. sijui ndani kama yamo yaliyomo.. ila paka toto la tandale linaendeleza libeneke ujue moto upo mle
Moto upo si Ugandan product jirani na bukoba

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3] November itakuwa inazunguka viunga vya uswazi.. mataa kama yote yaani soft touch , ukiendesha night peke yako, unaweza jikuta inakuilanisha unalala bila kujua .. hiyo ni Mereces Benz
Asee hata ukisahau November lazima nikukumbushe
 
Asee hata ukisahau November lazima nikukumbushe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Uzima tu, barabarani nayo mizinga kama kazi.. sasa kwa sie tunao safiri kila kukicha rate ya kupiga mzinga ni kubwa kuliko nyie wa town πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…