Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Screenshot_20210716-100337_Instagram.jpg

Nia yao hushindwe,waseme "tulijua sisi hatofika mbali.........."
 
Kuna mchungaji wetu mmoja huwa anasema , usipokuwa na kazi ya kufanya, shetani atakupa tu kazi ya kuwaza chini na kupataka

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mod naona walipita nae kasi sana, bila kujua mwamba hapendi unafiki

Tukimuita Mod wanaweza fanya yao tena, acha tukaushe tu [emoji3][emoji3][emoji846]
Heeheee poa poa

Mwamba kaja kitakatifu now[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Haahaaa
 
Ukiona gari imewaka Jf kuna mijadara unakaa nayo mbali, hukawii kupigwa bun [emoji3][emoji3] watu wana mambo ya kishirikina sana humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] asee domo kamponza best yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16] asee domo kamponza best yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
RR imekuwa gumzo kila mahala, Dimaond kajua kuwapa watu kazi ya kufatilia gari ambazo hata mtaani kwao huenda hawatokuja kuziona zikipita 😀🙂🙂
 
Hata diamond nae pale kanasa, sijui linampaga manini.. usema lina guu tamu [emoji39][emoji39][emoji39] akivaaga na kile kikuuu nabaki nameza mate tu.. sijui ndani kama yamo yaliyomo.. ila paka toto la tandale linaendeleza libeneke ujue moto upo mle
Moto upo si Ugandan product jirani na bukoba

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3] November itakuwa inazunguka viunga vya uswazi.. mataa kama yote yaani soft touch , ukiendesha night peke yako, unaweza jikuta inakuilanisha unalala bila kujua .. hiyo ni Mereces Benz
Asee hata ukisahau November lazima nikukumbushe
 
Back
Top Bottom