Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Picha juu

IMG-20210714-WA0135.jpg


IMG-20210714-WA0134.jpg


IMG-20210714-WA0133.jpg


IMG-20210714-WA0131.jpg
 
Diamond platinumz amedhihirisha Hilo kwa kununua Roll Royce Cullinan 2021 yenye thamani ya Zaid ya 2b.

Hatua hii kubwa inamfanya kuwa msanii mkubwa mwenye ndinga Kali akiungana na DAVIDO mwenye Roll Royce.

Wasanii we ye Rolls Royce Africa ni wawili tu Diamond platinumz na Davido.

DON'T HATE AND BE INSPIRED [emoji120][emoji123]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie boss wako akuongezee bajeti ununue simu ya gharama kidogo mkuu maana unawakilisha brand kubwa ya wasfi

Usiniseme mm kwasababu namwakilisha HAMORAPA ananilipa kidogo nimetoka kwenye ITEL Sasa npo kwenye TECNO



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Acha hizo unajua na simu ngapi na je , simu ndio Ina potray how wealth person is , very stupidity

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom