Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Wacha afurahie maisha Diamond anafanya kazi haswaaa. Halali wala hapoi








Mama Diamond mwenyewe wa kuitwa Sandra💣💥







Tangu ameanza music hajawahi kuona amefika

Pongezi kwake, management na familia inayom support
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
 
Fake Rolls Royce pia zipo Jamani
Screenshot_20210714-203358.jpg
 
Back
Top Bottom