Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond platinumz amedhihirisha Hilo kwa kununua Roll Royce Cullinan 2021 yenye thamani ya Zaid ya 2b.

Hatua hii kubwa inamfanya kuwa msanii mkubwa mwenye ndinga Kali akiungana na DAVIDO mwenye Roll Royce.

Wasanii we ye Rolls Royce Africa ni wawili tu Diamond platinumz na Davido.

DON'T HATE AND BE INSPIRED [emoji120][emoji123]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na kapicha uka post...
 
Rozi roisi ya King Kiba, alikuwa nayo siku nyingi sema hapendi show-off๐Ÿคฃ๐Ÿคธโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’๐Ÿ‘‡
SmartSelect_20210714-212125_YouTube.jpg
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenibidi tu nicheke
Wewe jamaa upo kama rafiki yangu mmja hivi
Yan dah mnashida sana!
Sasa mkuu usile kuku kwakua jiran yako anamboga majani?
Mkuu ikiwa unahangaika mwenyewe basi tumia mwenyewe
Msaidie mwingine ikiwa unamoyo wakufanya hivyo ingawa usipofanya hivyo pia hakuna wakukuuliza
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Sifa za kijinga kutumia hela yake...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
mama D Naona Kwny vid zako ya kwnz kama vile usukan unabadilika mara kulia mara kushoto au naona vibaya??

Nb:sina utaalam na magar
 
Back
Top Bottom