Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Mtaalamu wa kuchambua magari funiyani akiichambua gari ya mr misifa mzee wa kuongeza masifuli


 
Dawa ya mwanga ni kutoboa tu...
Na kweli ana wakomesha

Screenshot_20210715-184810_Instagram.jpg
 
Duuh mkuu unaniliza ujue[emoji22][emoji22]

Siku hizi SBT na Befoward siingii..maana niliona ntakuwa chizi[emoji16][emoji16]
Endelea kuingia,kadri unavyokuwa na shaukua na tamaa, nguvu ya mvuto inafanya kazi.. Diamond alianza 2015 kuitaka RR hatia 2021 ndio kaipata usiue ndoto mkuu.. mambo madogo hayo🙂🙂 kwa mtu mwenye focus
 
Jamaa ni fighter hatari

Kwa mbaaaali naiona Ndege ikinunuliwa btwn 2021-2030
 
Mtaalamu wa kuchambua magari funiyani akiichambua gari ya mr misifa mzee wa kuongeza masifuli




[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mchambuzi ukiangalia nyuma yake background utachoka

Mkuu acha sio lazima upingane
 
Endelea kuingia,kadri unavyokuwa na shaukua na tamaa, nguvu ya mvuto inafanya kazi.. Diamond alianza 2015 kuitaka RR hatia 2021 ndio kaipata usiue ndoto mkuu.. mambo madogo hayo[emoji846][emoji846] kwa mtu mwenye focus
Ni kweli mkuu...kadiri unavyopanua ndivo na tamaa inaongezeka in tibaijuka's voice
 
Ha ha umemsahau huyo Bibi wa kihaya bungeni aliwaacha hoi bungeni na huo msemo[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Ila si hata kupanua mawazo, sema wabunge watu wa gari za chini sanaaaaa yanii ndio maana mawazo yakaenda hukoo kwenye ndinga za chiniii chiniii 😀😀😀😀😀😀
 
Ila si hata kupanua mawazo, sema wabunge watu wa gari za chini sanaaaaa yanii ndio maana mawazo yakaenda hukoo kwenye ndinga za chiniii chiniii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haahaahaahaa

Wale wahuni sana....kukaa bure bila kazi ndo matokeo yake hayo

Umemuona best yetu? Naona katimba kivingine[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Muite aje huku tena haahaa extro bana
 
Haahaahaahaa

Wale wahuni sana....kukaa bure bila kazi ndo matokeo yake hayo

Umemuona best yetu? Naona katimba kivingine[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Muite aje huku tena haahaa extro bana
Kuna mchungaji wetu mmoja huwa anasema , usipokuwa na kazi ya kufanya, shetani atakupa tu kazi ya kuwaza chini na kupataka

😀😀😀😀😀 mod naona walipita nae kasi sana, bila kujua mwamba hapendi unafiki

Tukimuita Mod wanaweza fanya yao tena, acha tukaushe tu 😀😀🙂
 
Back
Top Bottom