Diamond Platnumz atumia milioni 48Tsh kununulia Cheni ya dhahabu

Mil 48,hapa ningekuwa napigia hesabu ya Toyota Landcruiser Prado third generation TX,halafu kifuani ningeweka cheni ya 10,000 gold ya mchina ,huku nimefungua sunroof na mtu asingejua tofauti ya cheni yangu na yake....
 
Nipo congo huku thamani ya iyo cheni huku wanavaa wapuuzi flanii ivi ata mtaani awajulikani tanzania bado tuko nyuma km hilo pia nitukio la ajabu.
 
Yaani huyu kijana akili zake anazijua mwenyewe,anatumia 48M kununua cheni wakati anakaa nyumba ya kupanga?,madale kamuacha mama yake na kibenten wake
..kuna vitu vingine ni maamuzi tu usimfosi mtu afanye kitu unachopenda weww kama kaamua kupanga tu wewe unayempangia jinsi ya kutumia pesa zake ni nani labda!..unataka useme Mondi hawezi kujenga nyumba akaishi? huwezi jua labda kapenda kupanga tu kwa muda huu lakini wewe unamuhukumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…