October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Duu wewe ndio mahondaw kitambo naona mtu anaandika mahondaw hata sielewi kumbe nawewe unamwandikaga.
Na pia ukiona waumia mtu kutumia pesa zake alizozitafuta mwenyewe tambua wewe ni masikini wa kukanyagwa #nakaziaUkiona unashangaa mtu kutumia pesa zake anazotafuta mwenyewe,ujue wewe ni maskini wa kutupwa.
Hata hiyo cheni ya 10k ukiwa star unaiongezea masifuri kadhaa unampiku hadi diamond na hakuna atakaye kubishia. Ila kwa saizi sio star hata hiyo ya 10k raia watakubishia watasema 1kMil 48,hapa ningekuwa napigia hesabu ya Toyota Landcruiser Prado third generation TX,halafu kifuani ningeweka cheni ya 10,000 gold ya mchina ,nimefungua sunroof na mtu asingejua tofauti ya cheni yangu na yake....
Kama walikula dili moja?kuna video niliona yupo dukani anamcash muuzaji dolari
Video sio ya kuiamini, unaweza umuone rambo analipua vietnam akiwa peke yakeBasi atakuwa amenunua kwenye VIDEO tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakumbuka shuleni hesabu zilikuwa easy tu, mpaka pale walipoanza kuleta upuuzi wa x na y.
Hahahahaaa ndio maana nikamwambia basi hiyo cheni ya Milioni 48 amenunua kwenye VIDEO.Video sio ya kuiamini, unaweza umuone rambo analipua vietnam akiwa peke yake
Daah! Nimecheka.Video sio ya kuiamini, unaweza umuone rambo analipua vietnam akiwa peke yake
Ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
na pia atakua ana vichembe chembe vya uganga wa kienyejiUkiona unashangaa mtu kutumia pesa zake anazotafuta mwenyewe,ujue wewe ni maskini wa kutupwa.
Wakati unawaza hivo yeye kanunulia mpenzi wake mama yake magari jumla m400..Mil 48,hapa ningekuwa napigia hesabu ya Toyota Landcruiser Prado third generation TX,halafu kifuani ningeweka cheni ya 10,000 gold ya mchina ,huku nimefungua sunroof na mtu asingejua tofauti ya cheni yangu na yake....