Diamond Platnumz atumia milioni 48Tsh kununulia Cheni ya dhahabu

Diamond Platnumz atumia milioni 48Tsh kununulia Cheni ya dhahabu

Ukiona unashangaa mtu kutumia pesa zake anazotafuta mwenyewe,ujue wewe ni maskini wa kutupwa.
Na pia ukiona waumia mtu kutumia pesa zake alizozitafuta mwenyewe tambua wewe ni masikini wa kukanyagwa #nakazia
 
Mil 48,hapa ningekuwa napigia hesabu ya Toyota Landcruiser Prado third generation TX,halafu kifuani ningeweka cheni ya 10,000 gold ya mchina ,nimefungua sunroof na mtu asingejua tofauti ya cheni yangu na yake....
Hata hiyo cheni ya 10k ukiwa star unaiongezea masifuri kadhaa unampiku hadi diamond na hakuna atakaye kubishia. Ila kwa saizi sio star hata hiyo ya 10k raia watakubishia watasema 1k
 
Mil 48,hapa ningekuwa napigia hesabu ya Toyota Landcruiser Prado third generation TX,halafu kifuani ningeweka cheni ya 10,000 gold ya mchina ,huku nimefungua sunroof na mtu asingejua tofauti ya cheni yangu na yake....
Wakati unawaza hivo yeye kanunulia mpenzi wake mama yake magari jumla m400..
 
Eti anawa-ispire vijana wengi, kwa kununua cheni!?
 
Back
Top Bottom