Diamond Platnumz atumia milioni 48Tsh kununulia Cheni ya dhahabu

Diamond Platnumz atumia milioni 48Tsh kununulia Cheni ya dhahabu

Kuna ule ujumbe wa Sheikh Kipoozeo alikuwa anasema hivi "mwanaume hatakiwi kuvaa vitu vya gold maana kazi ya gold ni kulegeza legeza mwili" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hivi unamfahamu gold cadet 1, 1Gram ni 150k so unazungumzia gram 300 kwa 48mln kitu ambacho kwa bahiri Kama yule kamwe hataweza fanya hivyo.

Saa anavaa za laki mbili pale dfm Tena fake kwa arif, near century cinemax af anadanganya kanunua Dola laki 4[emoji28][emoji28][emoji28]

Gari ya 150 wapi uliza uambiwe watu sio wajinga mzee usichukulie kirahisi hivyo. Btw naheshimu mawazo yako.
Kama kaweza kumnunulia tanasha gar ya mil150 na mama yake same shit simultaneously,anashindwaje kutoa hzo 48mil
 
Back
Top Bottom