Diamond Platnumz atunukiwa tuzo ya heshima

Diamond Platnumz atunukiwa tuzo ya heshima

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Msanii wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond ameendelea kujizolea tuzo kila pembe ya dunia kwa kazi anayoifanya ya music kupenda na wengi apewa tuzo ya kutambua kazi yake ya mziki leo,
Na baada ya kupokea tuzo hiyo amewashukuru mashabiki zake kuendelea kumsupport pia kukubali kazi yake.
 
Cc:mods hili tangazo la blog limelipiwa
 
mkuu Shark umeongea kwa lugha ya picha.ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom